Nenda kwa yaliyomo

Chioma Chukwuka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Chioma Chukwuka
Amezaliwa 12 Machi 1980 (1980-03-12) (umri 44) Nigeria
Jina lingine Chioma Chukwuka - Akpotha
Kazi yake Muigizaji
Ndoa 2006

Chioma Chukwuka (alizaliwa Oraifite, Anambra State , Nigeria, 12 Machi 1980) ni mwigizaji wa Nollywood Nigeria. Mwaka 2007 aliibuka mshindi wa Afrika Kisasa Academy Award kwa 'Muigizaji bora katika mhusika mkuu'.[1][2]

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Mwaka 2007 Chukwuka alipokea 'Muigizaji Bora katika mhusika mkuu' tuzo katika Tuza ya Filamu Bora Afrika kwa ajili ya filamu Dhambi ya mwili. [3] Chukwuka ameigiza katika zaidi ya Filamu 80 za Nollywood .[4]

 • Mchanga mwekundu (2008)
 • Michezo maradufu (2007)
 • Kalio kwenye moto (2006)
 • Chanika (2006)
 • Chinwe Okeke (2006)
 • Waliokufa katika Imani (2006)
 • Azimio kuu (2006)
 • Mwisho wa Majadiliano (2006)
 • Michezo Yenye Wanauma hucheza (2006)
 • Familia takatifu (2006)
 • Sakata ya mwisho (2006)
 • Uchi na Dhambi (2006)
 • Siku Ya Harusi Yangu(2006)
 • Royal Kiyama (2006)
 • Royal tusi (2006)
 • Mtakatifu (2006)
 • Mwokozi (2006)
 • Nyoka katika Paradiso (2006)


 • Sauti ya pendo (2006)
 • Mapenzi ya ajabu (2006)
 • Machozi Moyoni (2006)
 • Mikosi ya kijumla (2006)
 • Mshtuko (2006)
 • Hekima ya Miungu (2006)
 • Zoza (2006)
 • Azima (2005)
 • Mabiharusi (2005)
 • Bibiharusi wa Tai(2005)
 • Malaika bandia (2005)
 • Mwezi wa dhahabu (2005)
 • Kukujua wewe (2005)
 • Wakti wa Ukweli (2005)
 • Penzi la kweli 2 (2005)
 • Penzi la kweli 3 (2005)
 • Mapokeo takatifu (2005)
 • Adamu wa pili (2005) (V)


 • Dhambi ya mwili (2005)
 • Vita ya Vita (2005)
 • Miaka ya Machozi (2005)
 • Mduara wa Machozi (2004)
 • Mchezo mchafu (2004)
 • Mvua nzito (2004)
 • Kutamani nyumbani (2004)
 • Kumbukumbu (2004) (V)
 • Ahidi & kufeli (2004)
 • Mbili kuwa moja (2004)
 • Ahadi iliovunjwa (2004
 • Kujipendekeza (2003)
 • Mtanashati (2003)
 • Penzi lakweli (2003)
 • Pendo la Kweli (2003)
 • Mugongano wa mwisho (2002)
 • Machweo (2002) (V)


Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]


 1. "AMAA 2007: List of Winners and Nominees". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-03-05. Iliwekwa mnamo 7 Desemba 2009.
 2. [4] ^ Chioma Chukwuka katika NigeriaMovies.com Archived 16 Mei 2010 at the Wayback Machine.
 3. [5] ^ Wasifu mfupi katika IMDB.com
 4. "Orodha ya sinema ya Chioma Chukwuka". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-01-17. Iliwekwa mnamo 2009-12-11.