Chimezie Metu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Chimezie Chukwudum Metu (amezaliwa 22 Machi, 1997) ni mchezaji wa mpira wa kikapu mwenye asili mchanganyiko wa Nigeria na Marekani.

Chimezie anaichezea timu ya Chama cha taifa cha mpira wa kikapu iitwayo San Antonio Spurs. Alichezea timu ya chuo cha USC Trojans. [1]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chimezie Metu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.