Chidinma Favour Edeji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Chidinma Favour Edeji

Amezaliwa 15 Desemba 1995
Nigeria
Nchi Nigeria
Kazi yake Mwanasoka

Chidinma Favor Edeji (alizaliwa 15 Desemba 1995) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa nchini Nigeria ambaye anacheza kama kiungo. Alicheza katika Ligi ya Wanawake ya Uturuki akichezea katika klabu ya Amed S.K. akivaa jezi namba 20. Chidinma ni mchezaji wa timu ya taifa ya wanawake ya Nigeria.[1] [2] [3] [4] [5] [6] [7]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Oyunculat – Fıtbolcular:Chidinma Favour Edeji (tr). Türkiye Futbol Federasyonu. Iliwekwa mnamo 5 December 2018.
  2. Amedspor'da Bir İlk (tr). Güneydoğu Güncel (7 October 2018). Iliwekwa mnamo 5 December 2018.
  3. Dynamites add World Cup Players and Talented Youths for 2017 WPSL Season. Treasure Coast Dynamites News (26 March 2017). Iliwekwa mnamo 5 December 2018.
  4. Nigeria 1–1 Canada. FIFA Women's U-17 World Cup Azerbaijan 2012 (22 September 2012). Jalada kutoka ya awali juu ya 2018-07-03. Iliwekwa mnamo 5 December 2018.
  5. List of Players- Nigeria. FIFA U-17 Women's World Cup Azerbaijan 2012. Jalada kutoka ya awali juu ya 2018-12-06. Iliwekwa mnamo 5 December 2018.
  6. Equipe de France des moins de 17 ans – Nigeria-France 0–0 (fr). Footoféminin. Iliwekwa mnamo 5 December 2018.
  7. 'We can't be two-time Cup losers'. Super Sport (5 November 2016). Iliwekwa mnamo 5 December 2018.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chidinma Favour Edeji kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.