Cherish
Mandhari
| Cherish | |
|---|---|
| Asili yake | Atlanta, Georgia, Marekani |
| Aina ya muziki | R&B, pop, dance-pop, hip hop |
| Miaka ya kazi | 2003–hadi leo |
| Studio | Capitol, Sho'nuff |
| Ame/Wameshirikiana na | Jazze Pha, Da Brat |
| Tovuti | www.cherishsisters.com |
| Wanachama wa sasa | |
| Farrah King Fallon King Felisha King Neosha King | |
Cherish ni kundi la muziki wa R&B, pop, na hip hop kutoka nchini Marekani. Kundi linakusanya ndugu wanne wa kike ambao ni Farrah King (amezaliwa 17 Februari 1984), Neosha King (amezaliwa 26 Januari 1986), na wengine mapacha ni Felisha na Fallon King (waliozaliwa 5 Juni 1987). Ndugu hawa wanne wote kiasili wanatokea mjini Illinois, lakini baadaye walihamia mjini Atlanta kwa kwenda kujiendeleza kimuziki zaidi. Kundi lime saini mkataba na studi ya Capitol Records na Sho'nuff Records.
Shughuli za muziki
[hariri | hariri chanzo]Muziki
[hariri | hariri chanzo]Albamu
[hariri | hariri chanzo]| Mwaka | Maelezo | Nafasi iliyoshika | Mauzo na matunukio | |||
|---|---|---|---|---|---|---|
| U.S. | U.S. R&B | UK | JAP | |||
| 2003 | The Moment
|
— | — | — | — |
|
| 2006 | Unappreciated | 4 | 4 | 80 | 20 |
|
| 2008 | The Truth | 40 | 6 | — | 91 |
|
Single
[hariri | hariri chanzo]| Mwaka | Wimbo | U.S. | U.S. R&B | U.S. pop | UK | NZ | JAP | Albamu |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 2003 | "In Love wit Chu" (wamefanya na Da Brat) | 44 | 32 | — | 29 | 11 | — | The Moment |
| "Miss P." (wakimshirikisha Da Brat) | — | 87 | — | — | — | — | ||
| 2006 | "Do It to It" (wakimshirikisha Sean Paul wa YoungBloodZ) | 12 | 10 | 9 | 30 | 3 | 10 | Unappreciated |
| "Unappreciated" | 41 | 14 | 65 | 187 | — | 38 | ||
| 2007 | "Killa" (wakimshirikisha Yung Joc) | 39 | 53 | 23 | 52 | 18 | 45 | The Truth |
| 2008 | "Amnesia" | — | 61 | — | — | — | — |
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "CHERISH :: the official website". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-12-13. Iliwekwa mnamo 2008-11-15.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Official Cherish Website Ilihifadhiwa 13 Desemba 2017 kwenye Wayback Machine.
- Cherish Official Myspace Page
- King-Sisters.com - The Ultimate Cherish Fan Site Ilihifadhiwa 10 Aprili 2016 kwenye Wayback Machine.
- Official FaceBook profile
| Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Cherish kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |