Chelezo (utarakilishi)

Chelezo kinaweza kutunzwa katika DVD, USB au kifaa cha kutunzia kingine.
Katika utarakilishi, chelezo (kwa Kiingereza: Backup) ni nakala ya data za tarakilishi ambayo inatunzwa kwingineko ili iweze kutumika kurejesha data baada ya upotevu wa data kutokea.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).