Che Malone

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Che Fondoh Malone Junior, ni mchezaji wa soka kutoka Cameroon anayecheza kama beki wa kati katika klabu ya Simba S.C.[1][2]. Amejiunga na klabu hiyo tarehe 9 Julai mwaka 2023, na hadi sasa amecheza jumla ya mechi 5 mpaka sasa ana bao moja.

Kimataifa, ameichezea timu ya taifa ya Cameroon katika mechi 5 bila kufunga bao. Malone ni mchezaji mwenye uzoefu na mchango wake katika safu ya ulinzi ya Simba S.C. ni mkubwa[3].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Che Malone - Player profile | Transfermarkt
  2. https://www.transfermarkt.com/che-malone/profil/spieler/950788.
  3. Simba SC - Club profile | Transfermarkt. https://www.transfermarkt.com/simba-sc/startseite/verein/14191.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Che Malone kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.