Nenda kwa yaliyomo

Charlie Chaplin (mwimbaji)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Richard Patrick Bennett (anajulikana zaidi kwa jina la kisanii Charlie Chaplin[1]) ni mwimbaji wa dancehall na Deejay kutoka Jamaika. Ilikuwa kawaida kwa wa-deejay wa Jamaica wa enzi hiyo kujitambulisha kwa majina ya nyota wa filamu au wahusika. Hata hivyo, Bennett alikuwa akijulikana kwa jina la Charlie Chaplin tangu utotoni mwake.Kazi yakeya muziki ilianza mwaka 1980 alipokuwa akifanya kazi na kundi la Stur-Gav Hi-Fi la U-Roy][2][3][4].

  1. Larkin, Colin: The Virgin Encyclopedia of Reggae, Virgin Books, 1998, ISBN 0-7535-0242-9
  2. Campbell, Howard (2013) "Honours in Order Archived 12 Agosti 2013 at the Wayback Machine", Jamaica Observer, 7 August 2013. Retrieved 10 August 2013
  3. Bonitto, Brian (2016) "Serious messages from Charlie Chaplin", Jamaica Observer, 27 January 2016. Retrieved 29 January 2016
  4. Discography at Roots Archives