Charlestown, Massachusetts

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Charlestown wakati wa baridi
Hospitali ya Spalding, Charlestown

Charlestown ilikuwa mji ulioanzishwa mwaka 1628 huko Massachusetts, Marekani. Ilikuwa mji mkuu wa kwanza wa Massachusetts Bay Colony ya Uingereza.

Tangu 1874 imekuwa sehemu ya mji wa Boston. Inapatikana kwenye rasi iliyopo kaskazini-mashariki mwa Boston kati ya mito ya Charles River na Mystic River.

Samuel Morse alizaliwa hapa.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Charlestown travel guide kutoka Wikisafiri

Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Charlestown, Massachusetts kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.