Charles Sherrington

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Charles Scott Sherrington)
Charles Sherrington

Charles Scott Sherrington (27 Novemba 18574 Machi 1952) alikuwa mwanafiziolojia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza neva za wanyama. Mwaka wa 1922 alipewa cheo cha "Sir". Mwaka wa 1932, pamoja na Edgar Adrian alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Charles Sherrington kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.