Nenda kwa yaliyomo

Charles Gbeke

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Gbeke mwaka 2010

Charles Gbeke (alizaliwa Kodivaa, 15 Machi 1978) ni mchezaji wa zamani wa kulipwa wa mpira wa miguu aliyekuwa akicheza kama mshambuliaji. Alichezea timu ya taifa ya mpira wa miguu ya Kanada mara tatu.[1][2][3]

  1. "USL-1 Top 25 of the Decade". USLsoccer.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Juni 10, 2011. Iliwekwa mnamo Februari 3, 2010.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Whitecaps Sign Gbeke Archived Februari 25, 2005, at the Wayback Machine
  3. "Charles Gbeke | SoccerStats.us". soccerstats.us. Iliwekwa mnamo 2016-11-20.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Charles Gbeke kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.