Charles Beh

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Charles Beh ni mfanyabiashara wa nchini Liberia. Ni mmiliki wa kituo cha Biashara cha Charles Business Center (CBC), na duka maarufu la rejareja katika mtaa wa Randall Street katikati mwa mji wa Monrovia.

Beh alianza kuuza jeans na nguo za michezo mnamo 1993 wakati wa vita ya kwanza ya wenyewe kwa wenyewe nchini Liberia.

Mnamo 2001, alijiunga na Benki ya Liberia ya Maendeleo na Uwekezaji kwa mkopo wa dola za kimarekani 50,000 kutoka kwenye mpango wa mkopo kwa vijana wajasiriamali (YEP). Leo anaendesha maduka mawili ya bidhaa za jumla za nguo viatu na mikoba ya wanawake katika mtaa wa Water Street.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Businessman Raps on Doing Business, Finding Financing". Liberian Observer. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 13 July 2012. Iliwekwa mnamo 28 April 2012.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Charles Beh kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.