Nenda kwa yaliyomo

Chanjo ya Adenovirus

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Chanjo ya Adenovirus ni chanjo dhidi ya aina fulani za maambukizi ya adenovirus.[1][2] Hasa ni bora dhidi ya Aina E4 na Aina B7. [3] Chanjo hii inachukuliwa kwa mdomo.[1]

Madhara yake ya kawaida ni pamoja na maumivu ya kichwa, pua ya kukimbia, kikohozi, maumivu ya viungo, kichefuchefu na kuhara.[4] Hairuhusiki kuitumia wakati wa ujauzito.[4] Inajumuisha virusi hai (ambavyo havijapunguzwa).[4] Vidonge vyake vimepakwa, ili virusi vipite tumboni na kuambukiza matumbo, ambapo kinga hufufuliwa.[4][5]

Chanjo ya Adenovirus iliidhinishwa kwa ajili ya matumizi ya kimatibabu katika jeshi la Marekani nchini Marekani mwaka wa 2011.[4] Matoleo ya awali yalitumiwa na jeshi kuanzia mwanzoni mwa miaka ya 1960.[6]

  1. 1.0 1.1 "Adenovirus Vaccine Information Statement | CDC". www.cdc.gov (kwa American English). 8 Aprili 2021. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 14 Agosti 2021. Iliwekwa mnamo 13 Januari 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Tucker SN, Tingley DW, Scallan CD (Februari 2008). "Oral adenoviral-based vaccines: historical perspective and future opportunity". Expert Rev Vaccines. 7 (1): 25–31. doi:10.1586/14760584.7.1.25. PMID 18251691.{{cite journal}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Flint, S. Jane; Nemerow, Glen R. (2017). "8. Pathogenesis". Human Adenoviruses: From Villains To Vectors (kwa Kiingereza). Singapore: World Scientific. uk. 153-183. ISBN 978-981-310-979-7. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 5 Mei 2022. Iliwekwa mnamo 5 Mei 2022.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. 4.0 4.1 4.2 4.3 4.4 "DailyMed - ADENOVIRUS TYPE 4 AND TYPE 7 VACCINE, LIVE kit". dailymed.nlm.nih.gov. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 1 Desemba 2021. Iliwekwa mnamo 13 Januari 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. "Adenovirus Vaccine Monograph for Professionals". Drugs.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 25 Julai 2021. Iliwekwa mnamo 13 Januari 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. Plotkin, Stanley A.; Orenstein, Walter A. (2008). Vaccines (kwa Kiingereza) (tol. la Fourth). Elsevier. uk. 8. ISBN 978-1-4160-3611-1. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 11 Januari 2022. Iliwekwa mnamo 19 Desemba 2021.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya tiba bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chanjo ya Adenovirus kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.