Changamoto za Grainger

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Changamoto za Grainger ni mashindano ya kutafuta njia za kuondoa elementi aina ya arseniki kutoka kwenye chemchem za maji yaliyochafuka kwa elementi hiyo. Mashindano hayo yanadhaminiwa na mashirika ya United States National Academy of Engineering na Grainger Foundation ambayo yanajikita katika kutoa maji salama kwa nchi kama Bangladesh, India, na Cambodia.

Mwaka 2007, mshindi wa zawadi ya Dhahabu($1,000,000) alikuwa Abdul Hussam kwa utafiti wake wa Sono arsenic filter.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. CAWST. "[[:Kigezo:MetaTags.ogTitle]]". Kigezo:MetaTags.title. Iliwekwa mnamo 2022-05-07.  Wikilink embedded in URL title (help)