Nenda kwa yaliyomo

Celio

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Vilima saba vya Roma asili na vilima saba ya kandokando yake.
Kiini cha Roma kutoka angani.

Celio ni kilima maarufu katikati ya Roma, mji mkuu wa Italia.

Roma mwanzo wake ulikuwa kwenye kilima hicho na katika vingine sita vilivyo katikati ya mji wa leo vinavyoitwa: Palatino, AventinoCampidoglio, Quirinale, Viminale na Esquilino.

Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Celio kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.