Nenda kwa yaliyomo

Cecilia Alvarez

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Cecilia Alvarez (alizaliwa Aprili 15, 1950) ni msanii wa Chikana wa Marekani anayejulikana zaidi katika mtindo wake wa upakaji wa mafuta ambapo ilikuwa inayoonyesha maudhui ya mwanamke, umaskini, na uharibifu wa mazingira katika nchi ya Marekani na Amerika ya Kilatini[1]

Mchoro wa Alvarez unaojulikana kama Las Cuatas Diego umeangaziwa katika vitabu na maonyesho kote ulimwenguni.[2]

  1. "Daughters of Immigration: Cecilia Alvarez, Tatiana Garmendia, and Blanca Santander | M. Rosetta Hunter Art Gallery". artgallery.seattlecentral.edu. Iliwekwa mnamo 2020-03-31.
  2. "Winter/Spring 2001: So to Speak". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Machi 13, 2005.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Cecilia Alvarez kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.