Nenda kwa yaliyomo

Cecil Kenneth Baker

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Cecil Kenneth Baker (1921Novemba 1996 [1] ) alikuwa msanii wa Afrika Kusini. [2]

Baker alizaliwa huko Harfield, Claremont, Cape Town, nchini Afrika Kusini, [3] ambapo ilikuwa ndio kitongoji chenye wakazi wengi.

  1. Dates uncertain. Some sources give birth year as 1931; some sources give death year as 1995. Cause of death variously given as complications from a stroke or alcoholism.
  2. Johans Borman – Fine Art Gallery. http://www.johansborman.co.za/sa-masters/baker-kenneth/ Ilihifadhiwa 13 Juni 2021 kwenye Wayback Machine.. Retrieved 20 March 2010.
  3. The Cape Gallery. http://www.capegallery.co.za/kenneth_baker_cv.htm Ilihifadhiwa 19 Aprili 2021 kwenye Wayback Machine.. Retrieved 20 March 2010.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Cecil Kenneth Baker kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.