Catandica

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Halmashauri ya Manispaa ya Catandica, Msumbiji


Catandica
Nchi Msumbiji
Mkoa Manica
Idadi ya wakazi (2005)
 - Wakazi kwa ujumla 27.007

Catandica ni mji wa mkoa wa Manica nchini Msumbiji. Idadi ya wakazi wake ni takriban 177,193[1] mwaka 2015. Mji huo, ulio karibu na mpaka wa Zimbabwe, umepata jina lake kutoka kwa mtoto wa chifu wa eneo hilo ambaye aliwahi kutumikia jeshini

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Msumbiji bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Catandica kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.