Carlene Davis
Mandhari
Carlene Davis (alizaliwa 1953) ni mwimbaji wa muziki wa injili na reggae kutoka Jamaika ambaye amekuwa akiimba tangu miaka ya 1970. Akiwa na mafanikio tangu mwanzoni mwa miaka ya 1980 kama msanii wa reggae aliweza kushinda ugonjwa wa saratani katikati ya miaka ya 1990, baada ya hapo alijitolea kazi yake kwa muziki wa injili. Ametoa zaidi ya albamu kumi.[1][2][3][4]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Carlene Davis". Discogs. Iliwekwa mnamo 16 Novemba 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Tuber, Keith (1983) "Reggae's Carlene Davis Sends a Message From Jamaica", Orange Coast Magazine, January 1983, p. 88-90, retrieved 29 April 2011
- ↑ Campbell, Howard (2009) "Carlene Davis focuses on 'Best of Glory' Archived 28 Februari 2011 at the Wayback Machine", Jamaica Gleaner, 4 August 2009, retrieved 29 April 2011
- ↑ Pryweller, Joseph (1991) "Carlene Davis Sings Songs of Freedom, Brings Music's Message to Norfolk Sunday", Daily Press, 5 July 1991, p. 13