Carl von Ossietzky

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Carl von Ossietzky

Carl von Ossietzky (3 Oktoba, 1889 mjini Hamburg hadi 4 Mei, 1938) alikuwa mwandishi wa habari na mpinzanivita kutoka nchi ya Ujerumani. Mwaka wa 1935 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Carl von Ossietzky kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.