Candace Chapman
Mandhari
Candace Chapman
Jinsia | mwanamke |
---|---|
Nchi ya uraia | Kanada |
Jina halisi | Candace |
Jina la familia | Chapman |
Nickname | Chappie |
Tarehe ya kuzaliwa | 2 Aprili 1983 |
Mahali alipozaliwa | Port of Spain |
Kazi | association football player |
Nafasi anayocheza kwenye timu | Beki |
Alisoma | University of Notre Dame, Archbishop Denis O'Connor Catholic High School |
Mchezo | mpira wa miguu |
Ameshiriki | 2008 Summer Olympics, 2012 Summer Olympics, 2007 FIFA Women's World Cup |
Ligi | USL W-League |
Candace Marie Margaret Chapman (alizaliwa 2 Aprili, 1983) ni mzaliwa wa Trinidad na Tobago, mchezaji wa soka mstaafu wa nchini Kanada. Alipokua Ajax, Ontario, alicheza kama beki na alikuwa mchezaji wa timu ya taifa ya Kanada. Kwa sasa ni kocha wa timu ya taifa ya vijana. [1]
Maisha ya awali
[hariri | hariri chanzo]Chapman alizaliwa katika Port of Spain, Trinidad na Tobago. Ni mhitimu wa Chuo Kikuu cha Notre Dame akiwa na diploma katika sosholojia na matumizi ya kompyuta.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Photo Gallery: Black Canadians and Sports". Citizenship and Immigration Canada. 28 Januari 2015. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 11 Machi 2015. Iliwekwa mnamo 26 Aprili 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Candace Chapman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |