Nenda kwa yaliyomo

Caddy Adzuba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

'

Caddy Adzuba
Caddy Adzuba
Amezaliwa5 Aprili 1981
Kazi yakemwanasheria, mwandishi wa habari,

Caddy Adzuba (alizaliwa tarehe 5 Aprili 1981 huko Bukavu)[1]ni mwanasheria, mwandishi wa habari, na mwanaharakati wa haki za wanawake kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).[2]

Fikra yake kuu ni kupambana na ukatili wa kingono nchini DRC. Alikuwa akifanya kazi kwa Radio Okapi na mwaka 2014 alipokea Tuzo ya Amani ya Princess Asturias.

  1. "Caddy Adzuba - Laureates - Princess of Asturias Awards". fpa.es. Iliwekwa mnamo 2021-02-17.
  2. "Caddy Adzuba: Asturias laureate", euronews, 2014-11-05. (en) 
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Caddy Adzuba kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.