Burgas

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa Burgas

Burgas (kwa Kibulgaria: Бургас na hutamkwa burfas, wakati mwingine huandikwa Bourgas) ni mji wa pili mkubwa zaidi kwenye pwani ya Bahari Nyeusi na ni mji wa nne kwa ukubwa huko Bulgaria baada ya Sofia, Plovdiv, na Varna.

Idadi ya wakazi ni 211,033, na wakazi 277,922 ndio waishio mjini.

Mji huu ndio kituo muhimu cha viwanda, usafiri, utamaduni na utalii.

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.