Nenda kwa yaliyomo

Bruce Willis

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bruce willis
Willis mnamo 2010
Willis mnamo 2010
Jina la kuzaliwa Walter Bruce Willis
Alizaliwa 19 Machi 1955
Ujerumani
Kazi yake Mwigizaji
mwimbaji
mtaarishaji.
Ndoa Demi Moore (1987-2000)
Watoto Rumer Willis (kazliwa.1988)

Walter Bruce Willis (amezaliwa tar. 19 Machi 1955) ni mwgizaji wa filamu na mwimbaji kutoka nchi ya Marekani. Alianza kupata umaarufu kuanzia maiaka ya 1980 hivi, na akabaki kuwa kama mwigizaji kiongozi pia mwigizaji msaidizi katika baadhi ya filamu zilizo kuwa zinaigizwa huko Hollywood.

Willis heshima ilikuja kuwa kubwa pale alipoigiza filamu ya Die Hard mnamo mwaka 1988, na kutumia jina la John McClane. Willis amemuoa mwgizaji filamu mwenzake bi.Demi Moore na wana watoto watatu kabla ya kutarikiana mnamo mwaka wa 2000, hiyo ilikuwa baada ya miaka kumi na tatu ya ndoa.

Willis amepokea tuzo nyingi na kupewa heshima tofauti na kazi yake, kwa kudhihirisha na kutoa baadhi msaada wake katika kikosi cha jeshi la Marekani, kujihusisha pia na maswala ya kisiasa.

Maisha ya awali

[hariri | hariri chanzo]

Filamu alizoigiza

[hariri | hariri chanzo]
Mwaka Jina la filamu Jina alilotumia Mengineyo
1980 The First Deadly Sin Man Entering Diner as Delaney Leaves extra
1982 The Verdict Courtroom Observer extra
1985 A Guru Comes Unknown role extra
1987 Blind Date Walter Davis
1988 in film|1988 The Return of Bruno Bruno Radolini
Sunset Tom Mix
Die Hard John McClane $5,000,000 salary[1]
1989 in film|1989 That's Adequate Himself cameo
In Country Emmett Smith
Look Who's Talking Mikey voice
1990 in film|1990 Die Hard 2 John McClane $7,500,000 salary[2]
Look Who's Talking Too Mikey voice
The Bonfire of the Vanities Peter Fallow $3,000,000 salary[2]
1991 in film|1991 Mortal Thoughts James Urbanski
Hudson Hawk Eddie 'Hudson Hawk' Hawkins also co-wrote plot and theme music
Billy Bathgate Bo Weinberg
The Last Boy Scout Joseph Cornelius 'Joe' Hallenbeck
1992 in film|1992 The Player Himself cameo
Death Becomes Her Dr. Ernest Menville
1993 in film|1993 National Lampoon's Loaded Weapon 1 John McClane cameo
Striking Distance Tom Hardy
1994 in film|1994 North Narrator
Color of Night Dr. Bill Capa
Pulp Fiction Butch Coolidge $800,000 salary[2]
Nobody's Fool Carl Roebuck
1995 in film|1995 Die Hard with a Vengeance John McClane
Four Rooms Leo uncredited
Twelve Monkeys James Cole
1996 in film|1996 Last Man Standing John Smith
Beavis and Butt-head Do America Muddy Grimes voice
1997 in film|1997 The Fifth Element Korben Dallas
The Jackal The Jackal
1998 in film|1998 Mercury Rising Art Jeffries
Armageddon Harry S. Stamper $20,000,000 salary plus percentage of profits[3]
The Siege Major General William Devereaux $5,000,000 salary[4]
Apocalypse Trey Kincaid
1999 in film|1999 Franky Goes to Hollywood Himself Short subject
Breakfast of Champions Dwayne Hoover
The Sixth Sense Dr. Malcolm Crowe $100,000,000 salary (includes salary, gross, & video revenue); highest earnings for any actor at the time[2][3]
The Story of Us Ben Jordan
2000 in film|2000 The Whole Nine Yards Jimmy 'The Tulip' Tudeski
The Kid Russell Duritz $20,000,000 salary[2]
Unbreakable David Dunn $20,000,000 salary[2]
2001 Bandits Joe Blake
2002 in film|2002 Hart's War Col. William A. McNamara $22,500,000 salary[2]
Grand Champion CEO cameo
2003 in film|2003 Tears of the Sun Lieutenant A.K. Waters
Rugrats Go Wild! Spike voice
Charlie's Angels: Full Throttle William Rose Bailey cameo
2004 in film|2004 The Whole Ten Yards Jimmy 'The Tulip' Tudeski
Ocean's Twelve Himself cameo
2005 in film|2005 Hostage Jeff Talley $25,000,000 salary
Sin City John Hartigan $5,000,000
2006 in film|2006 Alpha Dog Sonny Truelove
16 Blocks Jack Mosley Producer, $20,000,000 salary
Fast Food Nation Harry Rydell
Lucky Number Slevin Mr. Goodkat $7,000,000
Over The Hedge RJ voice$15,000,000
2007 in film|2007 The Astronaut Farmer The Colonel uncredited
Perfect Stranger Harrison Hill $15,000,000
Grindhouse Lt. Muldoon $1,000,000
Nancy Drew Bruce cameo
Live Free or Die Hard John McClane $25,000,000+20% of all gross
2008 Assassination of a High School President Principal post-production
2009 in film|2009 Morgan's Summit --- pre-production
The Last Full Measure William H. Pitsenbarger pre-production
2010 The Surrogates --- announced

Televisheni

[hariri | hariri chanzo]
Mwaka Jina la filamu Jina alilotumia Mengineyo
1984 Miami Vice Tony Amato No Exit"
1985 The Twilight Zone Peter Jay Novins episode "Shatterday"
1985-1989 in television|1989 Moonlighting David Addison Jr. 67 episodes
1996-1997 in television|1997 Bruno the Kid Bruno the Kid voice
1997 Mad About You Amnesia patient episode "The birth part 2"
1999 Ally McBeal Dr. Nickle episode "Love Unlimited"
2000 Friends Paul Stevens three episodes
2002 True West Lee television movie
2005 That '70s Show Vic episode "Misfire"

Filamu taarisha

[hariri | hariri chanzo]
Mwaka Jina la filamu Mengineyo
1988 Sunset co-executive producer
2002 The Crocodile Hunter: Collision Course producer
2007 in film|2007 The Hip Hop Project executive producer
Live Free or Die Hard producer

Albamu alizotoa

[hariri | hariri chanzo]
  • Return of Bruno, 1987, Razor & Tie, OCLC 16657516
  • If It Don't Kill You, It Just Makes You Stronger, 1989, Motown / Pgd, OCLC 21322754.
  • Classic Bruce Willis: The Universal Masters Collection, 2001, Polygram Int'l, OCLC 71124889.

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bruce Willis kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. "Entertainment Weekly". Bruce Willis on "Die Hard". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-12-21. Iliwekwa mnamo 2007-12-07. {{cite web}}: Unknown parameter |accessmonthday= ignored (help); Unknown parameter |accessyear= ignored (|access-date= suggested) (help)
  2. 2.0 2.1 2.2 2.3 2.4 2.5 2.6 "Internet Movie Database". Biography for Bruce Willis: Salary. {{cite web}}: Unknown parameter |accessmonthday= ignored (help); Unknown parameter |accessyear= ignored (|access-date= suggested) (help); line feed character in |work= at position 14 (help)
  3. 3.0 3.1 "tiscali.film&tv". BRUCE WILLIS BIOGRAPHY. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-05-23. Iliwekwa mnamo 2007-12-07. {{cite web}}: Unknown parameter |accessmonthday= ignored (help); Unknown parameter |accessyear= ignored (|access-date= suggested) (help)
  4. "ipaki". Bruce Willis. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-05-17. Iliwekwa mnamo 2007-12-07. {{cite web}}: Unknown parameter |accessmonthday= ignored (help); Unknown parameter |accessyear= ignored (|access-date= suggested) (help)