Brittany Baxter

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Brittany Amanda Baxter

Amezaliwa 5 september 1985
kanada
Nchi canada
Kazi yake mchezaji

Brittany Amanda Baxter (née Timko) (alizaliwa Septemba 5, 1985) [1] ni mchezaji wa soka mstaafu wa nchini Kanada ambaye alichezea vilabu vitano tofauti na kushinda mechi 132 akiwa na timu ya taifa ya Kanada.

Kazi ya klabu[hariri | hariri chanzo]

Timu yake kwanza kuchezea ilikuwa Vancouver Whitecaps Women . Alicheza pia kwenye timu ya soka ya chuo kikuu cha Nebraska-Lincoln tangu 2003 hadi 2007, alihitimu Mei 2007. Kisha akasainiwa na timu ya Melbourne Victory ya ligi ya W-League ya Australia mnamo Oktoba 2008, [2] akaungana na kocha wake wa zamani Matt Shepherd. [3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Athlete Detail Page – Brittany Baxter. Canadian Olympic Committee. Jalada kutoka ya awali juu ya August 20, 2008. Iliwekwa mnamo August 21, 2008.
  2. Victory Women on track for Westfield W-League debut. Melbourne Victory (October 14, 2008). Jalada kutoka ya awali juu ya 2017-04-19. Iliwekwa mnamo August 12, 2016.
  3. Victory in Melbourne » melbourne victory. Jalada kutoka ya awali juu ya January 6, 2009. Iliwekwa mnamo April 2, 2009.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Brittany Baxter kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.