Breyten Breytenbach

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Breyten Breytenbach (amezaliwa 16 Septemba 1939) ni mwandishi kutoka Afrika Kusini. Tangu 1962 amekaa Ufaransa. Ameandika hasa dhidi ya ubaguzi wa rangi kwa Kiingereza na Kiafrikaans. Alipotembelea nchi yake ya asili mwaka wa 1975 alitiwa ndani kwa miaka saba kwa vile kule Ufaransa alifunga ndoa na mke wa asili ya Vietnam. Kitabu chake cha wasifu, jina lake The True Confessions of an Albino Terrorist, kinaeleza miaka hiyo yake katika jela. Pia alitunga mashairi mengi.

Orodha ya vitabu vyake[hariri | hariri chanzo]

  • And Death White as Words (1978)
  • In Africa Even the Flies are Happy (1978)
  • A Season in Paradise (1981)
  • The True Confessions of an Albino Terrorist (1984)
  • Judas Eye (1988)
  • Memory of Snow and of Dust (1989)
  • Return to Paradise (1993)

Angalia pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Breyten Breytenbach kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

[[Jamii:Waandishi wa Ufaransa