Nenda kwa yaliyomo

Breel Embolo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Embolo mnamo 2022

Breel Donald Embolo (alizaliwa 14 Februari 1997)[1][2] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uswisi, ambaye anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya AS Monaco na timu ya taifa ya Uswisi.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://web.archive.org/web/20190611000407/https://www.fifadata.com/documents/FWC/2018/pdf/FWC_2018_SQUADLISTS.PDF
  2. "Breel Donald Embolo | Playerprofile | Bundesliga". web.archive.org. 2021-10-01. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-10-01. Iliwekwa mnamo 2024-06-17.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Breel Embolo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.