Nenda kwa yaliyomo

Bram Stoker

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bram Stoker

Abraham "Bram" Stoker (8 Novemba 184720 Aprili 1912) alikuwa mtunzi wa riwaya na hadithi fupifupi kutoka nchini Ireland. Anafahamika zaidi leo hii kwa kutunga riwaya ya kutisha ya Dracula kunako miaka ya 1897.

Vitabu vyake

[hariri | hariri chanzo]
  • The Primrose Path (1875)
  • The Snake's Pass (1890)
  • The Watter's Mou' (1895)
  • The Shoulder of Shasta (1895)
  • Dracula (1897)
  • Miss Betty (1898)
  • The Mystery of the Sea (1902)
  • The Jewel of Seven Stars (1903)
  • The Man (AKA: The Gates of Life) (1905)
  • Lady Athlyne (1908)
  • Snowbound: The Record of a Theatrical Touring Party (1908)
  • The Lady of the Shroud (1909)
  • Lair of the White Worm (1911)

Mkusanyiko wa hadithi fupi

[hariri | hariri chanzo]
  • Under the Sunset (1881)
  • Dracula's Guest (1914) Kilichapishwa na Florence Stoker

Hadithi zilizokuwa hazijatoka

[hariri | hariri chanzo]
  • Bridal of Dead (alternative ending to The Jewel of Seven Stars)
  • Buried Treasures
  • The Chain of Destiny
  • The Crystal Cup (1872)- published by 'The London Society'
  • The Dualitists; or, The Death Doom of the Double Born
  • The Fate of Fenella (1892), Chapter 10, "Lord Castleton Explains" only.
  • The Gombeen Man
  • In the Valley of the Shadow
  • The Man from Shorrox'
  • Midnight Tales
  • The Red Stockade
  • The Seer

Haidithi za kawaida

[hariri | hariri chanzo]
  • The Duties of Clerks of Petty Sessions in Ireland (1879)
  • A Glimpse of America (1886)
  • Personal Reminiscences of Henry Irving (1906)
  • Famous Impostors (1910)

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bram Stoker kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.