Nenda kwa yaliyomo

Boubekeur Belbekri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Boubekeur Belbekri (alizalliwa 7 Januari 1942) alikuwa mchezaji wa soka nchini Algeria ambaye alicheza kama mlinzi.

Maisha Na Kazi

[hariri | hariri chanzo]

Belbekri maisha mwake alicheza akiwa na klabu ya USM Alger kwa miaka 11, ambapo alishinda taji moja mnamo 1963 na mara tano mfululizo hadi fainali ya Kombe la Algeria na ingawa hakuna nambari rasmi lakini ni mmoja wa wachezaji waliocheza michezo mingi na USM Alger akicheza zaidi ya mechi 350. Kimataifa Belbekri alicheza michezo minne pekee na timu ya taifa,mchezo wa kwanza dhidi ya Bulgaria katika mchezo wa kwanza rasmi kwenye historia ya Algeria na alishiriki kama mchezaji wa akiba.

Klabu

USM Alger

  • Bingwa wa Ligi Ya Championnat National (1): 1962-63
  • Mshindi wa Pili wa Kombe la Algeria (5): 1968-69, 1969-70, 1970-71, 1971-72, 1972-73

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Boubekeur Belbekri kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.