Bongo Star Search

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Bongo Star Search ni kipindi cha televisheni cha mashindano ya kutafuta waimbaji bora chipukizi nchini Tanzania.

Mashindano hayo yalianzishwa na Rita Paulsen na yanaendeshwa na kampuni ya Benchmark Production. Ni mashindano yenye tija na hupendwa sana na wasanii chipukizi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bongo Star Search kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.