Bonde la Makgadikgadi
Mandhari
20°48′S 25°20′E / 20.800°S 25.333°E Bonde la Makgadikgadi linapatikana katikati ya savana kavu ya Botswana kaskazini mashariki[1].
Ni kati ya maziwa yaliyokauka makubwa zaidi duniani. Chumvi iliyofunika ardhi yake kwa urefu na upana ndiyo mabaki ya Ziwa Makgadikgadi, lililowahi kuwa kubwa kuliko Uswisi, lakini lilikauka miaka elfu kumi kadhaa iliyopita.
Homo sapiens aliwahi kuishi katika eneo hilo lenye rutuba na wingi wa uhai miaka 200,000 hivi iliyopita[2].
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Images from the Mkgadikgadi Pans Archived 24 Machi 2016 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Botswana bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bonde la Makgadikgadi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |