Bola Are

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bola Are
Amezaliwa 1O Oktoba 1954
Nigeria
Nchi Nigeria
Kazi yake Mwimbaji wa nyimbo za Injili

Bola Are (alizaliwa 1 Oktoba 1954) ni mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka nchini Nigeria na Rais wa zamani wa Chama cha Wanamuziki wa Injili wa Nigeria . [1] [2]

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Alianza kuimba tangu akiwa na umri wa miaka miwili, alijua angemtumikia Bwana akiwa na umri mdogo sana na akafwata. Wazazi wake walimwambia kwamba alianza kuimba siku chache kabla ya siku yake ya kuzaliwa, ambayo ilimfanya ajione kama mwimbaji aliyezaliwa. Hata hivyo, baada ya kuamua kufuata shauku yake ya huduma, Mwinjilisti Bola Are alianzisha bendi ya muziki iitwayo Bola na Waimbaji Wake wa Kiroho mnamo Juni 26, 1973. Mnamo Agosti 1977, alitoa albamu yake ya kwanza ya muziki Baba Ku Ise . Mnamo mwaka wa 2014, Are alikuwa ametoa zaidi ya albamu sabini.[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tade Makinde. "Bola Are marks 40 years on stage To dedicate cds to Obadare". tribune.com.ng. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 28 February 2015. Iliwekwa mnamo 28 February 2015.  Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  2. "Gospel artistes that made 2014 memorable". Vanguard News. Iliwekwa mnamo 28 February 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  3. "Evangelist Bola Aare - OnlineNigeria.com". web.archive.org. 2015-02-27. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-02-27. Iliwekwa mnamo 2023-02-26. 
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bola Are kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.