Bofya maradufu
Katika utarakilishi, bofya maradufu (kwa Kiingereza: Double-click) ni tendo la kubofya haraka kipanya mara mbili mfululizo.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).