Blessing Igbojionu
Mandhari
Blessing Igbojionu
Jinsia | mwanamke ![]() |
---|---|
Nchi ya uraia | Nigeria ![]() |
Nchi anayoitumikia | Nigeria ![]() |
Jina halisi | Blessing ![]() |
Tarehe ya kuzaliwa | 26 Septemba 1982 ![]() |
Mahali alipozaliwa | Nigeria ![]() |
Kazi | association football player ![]() |
Nafasi anayocheza kwenye timu | Forward (association football) ![]() |
Mchezo | mpira wa miguu ![]() |
Ameshiriki | 2004 Summer Olympics ![]() |
Blessing Igbojionu (alizaliwa 26 Septemba 1982) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Nigeria. Blessing alicheza kwenye timu ya taifa ya wanawake nchini Nigeria katika michezo ya Olimpiki ya mwaka 2004.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Olympic Women's Football Tournaments Athens 2004 – Squad List: Nigeria (NGR)". FIFA. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 28 Januari 2013. Iliwekwa mnamo 2 Oktoba 2015.
{{cite news}}
: More than one of|archivedate=
na|archive-date=
specified (help); More than one of|archiveurl=
na|archive-url=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Blessing Igbojionu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |