Black Panther

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Black Panther

Black Panther ni shujaa wa kubuniwa kutoka vitabu vya vichekesho katika Ulimwengu wa Ajabu iliyochapishwa na Marvel Comics. Utambulisho wake halisi ni "T'Challa", mfalme na mlinzi wa taifa la uongo la Afrika la Wakanda. Uhusika huo uliundwa na Stan Lee na Jack Kirby mwaka wa 1966. Black Panther alikuwa shujaa wa kwanza mweusi katika historia ya kitabu cha vichekesho na pia wa kwanza kutoka Afrika.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]