Biram Dah Abeid

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Biram Dah Abeid

Biram Ould Dah Ould Abeid, (alizaliwa 12 Januari 1965) ni mwanasiasa wa Mauritania na mtetezi wa kukomeshwa kwa utumwa. Aliorodheshwa kama mmoja wa "Watu 10 Waliobadilisha Ulimwengu Ambao Huenda Hujasikia" na PeaceLinkLive mnamo 2014, na jarida la Time kama mmoja wa Watu 100 Wenye Ushawishi Zaidi".Pia ameitwa "Nelson Mandela wa Mauritania" na shirika la habari la mtandaoni Middleeasteye.net. [1][2][3][4][5]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "UNPO: IRA President Biram Dah Abeid Wins UN Human Rights Prize". unpo.org. 
  2. "U.N. Recognizes Plight of Slaves in Africa; U.S. Must Do More". The Huffington Post. 18 December 2013.  Check date values in: |date= (help)
  3. "Critic: Twenty years since Human Rights Act, work only half done". Frost Illustrated. 
  4. "December 19 - Thursday". U.S. Department of State. 
  5. "Human rights activist to visit Ohio center". South Florida Times. Associated Press. 17 December 2013. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 20 December 2013.  Check date values in: |date=, |archivedate= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Biram Dah Abeid kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.