Bioko Norte
Mandhari
| Bioko Norte | |
| Nchi | Equatorial Guinea |
|---|---|
| Makao makuu | Rebola |
| Eneo | |
| - Jumla | 776 km² |
| Idadi ya wakazi (2015) | |
| - Wakazi kwa ujumla | 299,836 |
Bioko Norte ni mkoa wa Guinea ya Ikweta uliopo kwenye sehemu ya kaskazini ya kisiwa cha Bioko. Mji mkuu ni Rebola . Mji mkuu wa kitaifa pia uko Bioko Norte ambao ni Malabo .
Sehemu ya Hifadhi ya Kitaifa ya Pico Basilé iko Bioko Norte.
