Nenda kwa yaliyomo

Bi Kun

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kun Bi (Alizaliwa 12 Novemba 1995) ni mwanariadha wa mbio ndefu wa kiume kutoka China. Aliwakilisha Uchina katika michezo ya Olimpiki ya majira ya joto 2020 huko Tokyo akishindana katika mbio ndefu kwa wanaume ambapo alishinda medali ya shaba.[1][2]

  1. "Kun BI". Olympics.com. Iliwekwa mnamo 2021-12-03.
  2. "List of Chinese athletes for Tokyo Olympics - Xinhua | English.news.cn". www.xinhuanet.com. Iliwekwa mnamo 2021-12-03.