Beryl Mills
Mandhari
Beryl Lucy Mills (Alizaliwa tareh 3 Januari 1907 – Alifariki tarehe 13 Julai 1977) alikuwa wakala wa matangazo, maktaba na mshindi wa mashindano ya urembo. Alikuwa mwanamke wa kwanza kushinda mashindano ya Miss Australia mwaka 1926.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Australasian Gazette – Miss Australia, Beryl Mills, Leaves for the US on the Sonoma (1926)". National Film and Sound Archive. Iliwekwa mnamo 28 Agosti 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Beryl Mills kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |