Bernard Morisson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Bernard Morrison, (alizaliwa 20 Mei 1993) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ghana ambaye alicheza katika timu ya Simba S.C. katika ligi ya NBC nchini Tanzania.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]