Benki ya Barclays ya Tanzania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Benki ya Barclays ya Tanzania
Makao MakuuBarclay's House, Ohio Street, Kivukoni, Dar es Salaam, Tanzania

Benki ya Barclays ya Tanzania (kifupi: BBT) ni benki ya biashara nchini Tanzania na kampuni ya Afrika Kusini inayotegemea kundi la Barclays Africa. Imepatiwa leseni na Benki Kuu ya Tanzania, benki kuu ya nchi na mdhibiti wa benki ya kitaifa. [1]

Eneo[hariri | hariri chanzo]

Makao makuu na tawi kuu la Barclays Bank of Tanzania Limited yako Barclays House, kando na Mtaa wa Ohio, katika jiji la Dar es salaam.[2] ki geographia makao makuu ya Benki ya Backlays ni: 06°48'40.0"S, 39°17'12.0"E (Latitude:-6.811111; Longitude:39.286667).[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Bank of Tanzania (30 June 2017). The Directory of Banks and Financial Institutions Operating in Tanzania as at 30th June 2017 (PDF). Bank of Tanzania. Jalada kutoka ya awali juu ya 2018-01-27. Iliwekwa mnamo 8 May 2018.
  2. Barclays Bank of Tanzania (8 May 2018). Barclays Bank of Tanzania Limited: Head Office. Barclays Bank of Tanzania. Jalada kutoka ya awali juu ya 2019-12-14. Iliwekwa mnamo 8 May 2018.
  3. Kigezo:Google maps
ThreeCoins.svg Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Benki ya Barclays ya Tanzania kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.