Benjamin Dube

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Benjamin Dube (23 Januari 1962) ni mwanamuziki wa Injili wa Afrika Kusini ambaye alipata umaarufu mwanzoni mwa miaka ya 80. Kwa miaka mingi ametoa albamu kadhaa ambazo zimefikia hadhi ya dhahabu na platinamu katika viwango vya muziki vya Afrika Kusini. Dube pia ni mchungaji kiongozi wa High Praise Center huko Voslorus, mashariki mwa Johannesburg. [1]

Akiwa anatoka katika familia ya kidini. Hamu ya muziki ya Dube ilichochewa akiwa na umri mdogo. Alitoa maisha yake mwishoni mwa miaka ya 70 na kuanza kuimba muziki wa injili mara baada ya hapo.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Benjamin Dube kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.