Nenda kwa yaliyomo

Benedetto Lorenzelli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Benedetto Lorenzelli.

Benedetto Lorenzelli (11 Mei 185315 Septemba 1915) alikuwa Kardinali wa Italia katika Kanisa Katoliki.

Alikuwa Mkuu wa Kongregesheni Takatifu ya Masomo kuanzia mwaka 1914 hadi kifo chake, na alipandishwa kuwa kardinali mwaka 1907.[1]

  1. Florida International University, The Cardinals of the Holy Roman Church website, Biographical Dictionary; Pope Pius X (1903-1914) Consistory of April 15, 1907 (III)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.