Basil Pesambili Mramba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Basil Pesambili Mramba (amezaliwa tar. 15 Mei 1940) ni mbunge wa jimbo la Rombo katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu Basil Pesambili Mramba (1 Februari 2007). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.