Ballaké Sissoko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ballaké Sissoko
Ballaké Sissoko akiwa anaimba pamoja na kikundi chake cha 3MA nchini Uhispania
Ballaké Sissoko akiwa anaimba pamoja na kikundi chake cha 3MA nchini Uhispania
Maelezo ya awali
Amezaliwa 1968
Asili yake Mali
Kazi yake Mwimbaji
Mpiga kora
Studio Indigo Records,Six Degrees Records

Ballaké Sissoko (alizaliwa 1968) ni mwanamuziki mashuhuri na mpiga kora nchini Mali[1]. Amefanya kazi na Toumani Diabaté na Taj Mahal ni mwanachama wa kundi la 3MA linaloshirikiana na Driss El Maloumi pamoja Rajery.[2][3]


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ballaké Sissoko kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.