Balagha
Mandhari
(Elekezwa kutoka Balagaha)
Balagha (kutoka neno la Kiarabu) ni usemi ambao kwa makusudi mazima hutia chumvi katika simulizi au mazungumzo ili msomaji au msikilizaji avutiwe kufuata kilichoandikwa au kinachosemwa.
Ni pia ufundi wa kuuliza hadhira maswali yasiyo na majibu kwa lengo la kuvuta hisia na kufurahisha.
Swali la namna hiyo lisilohitaji jibu na mtu anayetumia mbinu hiyo wanaitwa vilevile balagha.
Tamathali ya namna hiyo inapamba sentensi na kuifanya pengine iwe sanaa.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Balagha kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |