Bajourou

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Bajourou jina hili limetungwa na watu wa nchi ya Mali. Muziki wa pop kawaida huchezwa kwenye harusi na mikusanyiko ya kijamii. mizizi yake ilikuwa katika muziki wa akustika wa miaka ya 60 ambao mifumo yake imekopwa kutoka kwa kora na donsongoni ambapo walibadilisha kinubi au gitaa ya kuwinda kuwa katika mfumo wa gitaa za akustisk. Maneno ya wimbo yalibadilishwa kutoka kwenye nyimbo za kawaida za sifa za Manding hadi kwenye masuala ya kidunia, kimapenzi hasa iliimbwa na wanawake kama Fanta Sacko ambaye alifanya mengi kukuza na kueneza muziki huo.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://www.bbc.co.uk/music/reviews/qwxm/