Aziz Sancar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Aziz Sancar, Stockholm mwaka 2015

Aziz Sancar (amezaliwa 8 Septemba, 1946) ni mwanakemia kutoka nchi ya Uturuki. Hasa alichunguza jinsi ya kutibu saratani. Mwaka wa 2015, pamoja na Tomas Lindahl na Paul Modrich, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aziz Sancar kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.