Nenda kwa yaliyomo

Ayache Belaoued

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ayache Belaoued (alizaliwa 5 Januari 1984) ni mwanasoka wa Algeria ambaye kwa sasa anacheza kama kiungo katika klabu ya MO Constantine katika Ligi ya Algeria Professionnelle 2.[1]

Mnamo Desemba, 2007, Belaoued alipata mafanikio akiwa na klabu ya Ureno S.L. Benfica. Walakini,akiwa bado chini ya mkataba na klabu ya USM Blida, iliyompelekea kujiunga na timu hiyo.

Ushiriki Kitaifa

[hariri | hariri chanzo]

Mnamo 5 Aprili 2008, Belaoued aliitwa na Timu ya Taifa ya Algeria A' kwa ajili ya mchezo dhidi ya USM Blida mnamo Aprili 11..[2]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ayache Belaoued kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.