Aya Miyama

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Aya Miyama (alizaliwa 28 Januari 1985) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu nchini Japani ambae alicheza timu ya taifa ya Japani kuanzia mwaka 2003 mpaka mwaka 2012. Mnamo mwaka 2016 aliwahi kuwa nahodha wa timu ya taifa. Alishiriki mashindano ya kombe la Dunia kati ya 2003 na 2015 na kufanikiwa kushinda Kombe la Dunia mwaka 2011. Miyama pia aliiongoza Japan kushinda medali ya fedha katika Michezo ya Olimpiki ya 2012 huko London.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aya Miyama kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.