Avanti Air
Mandhari
Avanti Air GmbH & Co. KG (iliyoandikwa kwa mtindo kama Avantiair) ni kampuni ndogo ya ndege ya Ujerumani.
Ndege zake hazina huduma kufuatana na ratiba fulani bali zinakodishwa kwa makampuni mengine.
Kituo kikuu kipo kwenye uwanja wa ndege Saarbruecken, Ujerumani.
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Avanti Air kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |